iqna

IQNA

Wanazuoni Mashuhuri
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/33
TEHRAN (IQNA) – Kitabu cha “Nakala za Qur'ani (Misahafu) za Bani Umayya: Muhtasari wa Kwanza” cha mwanazuoni mashuhuri wa Kifaransa Francois Deroche ni mojawapo ya vitabu muhimu vya kisasa vya hati za Qur’ani.
Habari ID: 3477982    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /35
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ilyas Wang Jingzhai (180-1949) ndiye mtu wa kwanza aliyetafsiri Qur'ani Tukufu nzima katika lugha ya Kichina.
Habari ID: 3477951    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 34
TEHRAN (IQNA) – Francois Deroche, mwanachuoni wa Kifaransa ambaye ni mtaalamu wa Codicology na Palaeography, amejadili sifa za Misahafu ya kwanza katika mojawapo ya vitabu vyake.
Habari ID: 3477923    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 32
TEHRAN (IQNA) - Tafsiri au tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kijapani ya Tatsuoichi Savada ilichapishwa mnamo 2014.
Habari ID: 3477892    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/14

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu 30
TEHRAN (IQNA) – Kuna zaidi ya tarjuma au tafsiri 120 za Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kifaransa, ambazo baadhi yake zina sifa zake maalum na nyingine zimefasiriwa kwa kuiga zile zilizotangulia huku kukiwa na mabadiliko machache sana.
Habari ID: 3477672    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /29
TEHRAN (IQNA) – Qur'ani Tukufu imetafsiriwa kwa lugha ya Kijapani mara kadhaa, mojawapo ikiwa tarjuma ya Okawa Shumei, ambaye si Muislamu.
Habari ID: 3477625    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /28
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Harun, ambaye ni mhubiri wa Kiislamu kutoka Rwanda, alitumia miaka saba kutafsiri Qur'ani Tukufu katika lugha rasmi ya nchi yake.
Habari ID: 3477430    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /27
TEHRAN (IQNA) – Imam Qoli Batvani ni mwanazuoni ambaye ameitafsiri Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kigeorgia, hivyo kuutambulisha utamaduni wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Ulaya mashariki.
Habari ID: 3477365    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /22
TEHRAN (IQNA) – Ignaty Krachkovsky alikuwa Mrusi mtafiti wa masuala ya mashariki na ya lugha Kiarabu ambaye anajulikana kwa tarjuma ya Qur’ani Tukufu katika lugha ya Kirusi.
Habari ID: 3477031    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/22

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /21
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abd al-Hamid Kishk alikuwa mhubiri wa Misri, mfasiri wa Qur'ani, msomi wa Uislamu, mwanaharakati, na mwandishi. Alikuwa miongoni mwa wahubiri mashuhuri katika ulimwengu wa Kiislamu na ameacha turathi ya hotuba zaidi ya 2,000.
Habari ID: 3476635    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /18
TEHRAN (IQNA) - Mustafa Mahmoud alikuwa mtafiti wa Qur'ani Tukufu nchini Misri, aidha aliluwa daktari, mtunzi wa fasihi na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni.
Habari ID: 3476472    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /17
TEHRAN (IQNA) - Mustafa Mahmoud alikuwa mtafiti wa Qur'ani Tukufu wa Misri, daktari, mtunzi wa fasihi na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni ambaye alijitahidi katika zaidi ya miongo mitano ya shughuli zake za kielimu kuwasilisha uelewa wa sayansi kwa mtazamo wa Kiislamu na kuonyesha umuhimu wa hadhi ya Uislamu na maadili katika zama za kisasa.
Habari ID: 3476446    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /16
TEHRAN (IQNA) – Mwanachuoni na mtafiti wa Kimisri Abd al-Razzaq Nawfal alisoma sayansi ya kilimo lakini akavutiwa na fani ya masomo ya Kiislamu na hivyo akaamua kusoma taaluma ya miujiza ya kisayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476372    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/14
TEHRAN (IQNA) – Kitabu kiitwacho ‘Mabahith fi Tafsir al-Madhuei’ (Majadiliano Kuhusu Tafsiri ya Kimadhari) ni mojawapo ya kazi kuu za mwanazuoni wa Syria Sheikh Mustafa Muslim kuhusu tafsiri ya Qur’ani.
Habari ID: 3476352    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /12
TEHRAN (IQNA) – Shughuli za kutarjumi Qur'ani Tukufu imeshuhudia maendeleo makubwa katika eneo la Balkan katika miongo ya hivi karibuni.
Habari ID: 3476273    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/6
TEHRAN (IQNA) – Ili kupambana dhidi ya wavamizi au kuimba kauli mbiu za kizalendo, mwanaharakati haishii kwenye shughuli za kisiasa au mapambano ya silaha. Wasanii wanafanikisha mapambano yao bila kuingia kwenye ulimwengu wa siasa.
Habari ID: 3476251    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 10
TEHRAN (IQNA) – Kusoma Qur'ani Tukufu katika lugha yake asili ya Kiarabu ni changamoto kwa Waislamu wengi katika nchi zisizo za Kiarabu. Watarjumi na wafasiri wamejaribu kurahisisha mambo kwa kuandika tarjuma na maelezo au tafsiri kwa lugha mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3476230    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /7
TEHRAN (IQNA) - Saher al-Kabi ni mwandishi wa kisasa wa Palestina ambaye kazi zake nyingi zina maandishi matakatifu ambapo kaligrafia ya Msahafu wa Msikiti wa Al-Aqsa Mus'haf ni shughuli yake kuu ya kisanii katika kutumikia Qur'ani Tukufu na Uislamu.
Habari ID: 3476150    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani /4
TEHRAN (IQNA) – Allamah Mohamed Ben Checkroun alikuwa mwanachuoni aliyeandika tafsiri na tarjuma ya kwanza ya uhakika ya Qur’ani Tukufu katika lugha ya Kifaransa katika jildi kumi.
Habari ID: 3476035    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani/2
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Ibrahim Arjun (1903- 1981) alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar ambaye kazi zake zilizoandikwa na kurekodiwa kuhusu tafsiri ya Quran ni vyanzo vyema vya utafiti katika nyanja Tafsiri ya Qur’ani Tukufu na sayansi za Kiislamu.
Habari ID: 3475930    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14